SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FASHION FOR PEACE
Mitindo

FASHION FOR PEACE 

fashioon

Wanamitindo wakubwa nchini Tanzania Martin Kadinda, Mustafa Hassanali na Kiki Zimba wana waletea Fashion For Peace. Hii ni kwa ajili ya kuhamasisha amani nchini kwetu Tanzania hasa katika kipindi hiki ambacho tunaelekea uchaguzi. Wao kukaa pamoja na kufikiria hili jambo ni swala kubwa sana,  Fashion For Peace itafanyika tarehe 17/10/2015  King Solomon Hall. Tegemea makubwa kutoka kwa Mustafa,Martin Na Kiki Zimba.

Related posts

1 Comment

  1. 비트코인

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-for-peace/ […]

Leave a Reply