SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Highlights Kutoka Kwa Hamisa Mobetto, Lulu Diva Na Dulla Makabila
Mitindo

Fashion Highlights Kutoka Kwa Hamisa Mobetto, Lulu Diva Na Dulla Makabila 

Well week ya kwanza ya mwezi wa pili imeisha na tunaweza kusema ni week ambayo imekuwa na fashion drama toka mwaka uanze. Kuanzia kwa mwanamitindo Hamisa Mobetto kuwa spotted akiwa amevaa fake dior bag, Dulla Makabila na superb facebeat huku akimshinda mwanadada Lulu Diva katika sekta hio. Well lets dig in kwenye hizi stories.

Mwanamitindo Hamisa Mobetto alikuwa katika headlines za mitindo kwa week iliyopita kutokana na kubeba kwake hii bag ambayo ilitakiwa kuwa Dior lakini hii ni Doir. As we all know wengi huwa tunategemea watu maarufu kuwa wanavaa vitu OG lakini kwetu au tuseme Nchi zetu za Africa hii ni kawaida kabisa. japo tungependa wajitahidi hata kama kitu kikiwa basi kisiwe too obvious kama hii its an embarrassment.

Mwingine aliyeingia katika headlines ni mwanamuziki Lulu Diva, ambae yeye alikuwa katika headlines kutoka na hii makeup yake, facebeat ilikuwa clean, brows on point, smokey eye nzuri na lipstick nzuri lakini hivi vyote haviendi pamoja. She looked too much ni kama a color book ya mtoto too shouting.

Mwanamuziki Dulla Makabila was on everybody mouth baada ya kuachia picha akiwa amevalia wig na kupaka makeup. Imekuja kugundulika kwamba ni cover ya wimbo wake mpya uitwao Ningekuwa Demu. Dulla alipakwa makeup yake na @zuhuraty_beautymakeup na tunaweza kusema Zuhura haja disappoint, This facebeat is clean.

well afromates tuambie maoni yako kuhusu hizi highlights tatu.

Related posts