SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Review – Fiesta 2017 Arusha
I'm A Celebrity

Fashion Review – Fiesta 2017 Arusha 

Ni msimu mwingine wa Fiesta nasi mara paaaaap tumejiandaa kutupia jicho letu kwa wasanii na watakavyovalia stejini.

Well, Jumamosi hii kilisomeka Arusha ambapo fiesta ilizinduliwa mkoani humo na macho yetu yalikuwa kuaangalia wasanii na kuchambua nani alitupia na nani aliboronga.

Kwa wasichana, wasanii Vanessa Mdee, Maua Sama na Lulu diva walitop our best dressed female artists. Mavazi yaliyovaliwa yaliendana na tukio as they slayed for the turn up. Pia stylists including Noel walihusika katika hili hivyo it was professional.

Vanessa

Maua Sama, Dressed By Noel Gio 

Lulu diva

Kwa msanii Feza Kessy, well twaweza sema her look ilikuwa too plain. Hakuweka nguvu zaidi on her stage costumes hivyo alionekana kawaida sana.

Then Nandy aliongoza our worst dressed as there was too much katika uvaaji wake. She had jeans shorts ambayo ilikuwa paired na vitu vingi sana, stokings, boots, denim all over. Angevipunguza kidogo then angeweza kupendeza as less is more always.

With the guys, wasanii Juma Jux, Alikiba na Nikki wa Pili kept it simple lakini walivutia na kuingia among the best dressed. Wasanii hawa wamekuwa always wakiwa na mionekano simple lakini huvutia na pia huwa classy.

Jux

Alikiba

Nikki Wa Pili

Pia wasanii Dogo Janja na Young Dee walikuwa among waliopendeza. Dogo Janja alivalishwa na J J Tailors toka Dar ambapo muonekano wake ulikuwa wa kipekee in his African prints.

Dogo Janja

Pia Young Dee akivalishwa na stylist Micky, aliweza ,kupendeza, akiondokana ana kuvaa over sizes na rainbow colours toka kwa Q Boy. The haor ndo the only thing ilomkosesha full points maana ni a big NO for him, zilivyobanwa.

Imeandikwa na @willibard_jr 

Related posts

2 Comments

  1. reputable dog Breeder

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-review-fiesta-2017-arusha/ […]

  2. visit website

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-review-fiesta-2017-arusha/ […]

Leave a Reply