SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Review Ya Kadamshi Music Video Ya Dully Sykes Na Harmonize
Mitindo

Fashion Review Ya Kadamshi Music Video Ya Dully Sykes Na Harmonize 

Dully Skyes katoa wimbo mpya ambao kamshirikisha mwana WCB Harmonize, ni wimbo unaofanya vizuri kwa sasa especial kutokana na kwamba kudamshi ni neno ambalo linatumika sana sasa hivi, Neno hili linamaana karibu na kupendeza ukivaa mtu akapenda unaambiwa ume damshi, labda hii ndio sababu ya Dully na Harmonize kutafuta stylist watatu ili wadamshishe hii video yao, lakini imekuwa tofauti na vile ambavyo sisi Afroswagga tulitegemea kuona well tumechambu video hii na @willibard_jr anakupa nini ambacho tumeona kama tumependa au lah tazama hapo chini.

Tupe maoni yako na tuambie wewe umeona nini katika hii video stylist wametenda haki au wamezogoa?

Related posts

3 Comments

  1. other

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-review-ya-kadamshi-music-video-ya-dully-sykes-na-harmonize/ […]

  2. download youtube videos free

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-review-ya-kadamshi-music-video-ya-dully-sykes-na-harmonize/ […]

  3. shroom chocolate bar Michigan

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-review-ya-kadamshi-music-video-ya-dully-sykes-na-harmonize/ […]

Comments are closed.