SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FASHION REVOLUTION: TBT NA AY MZEE WA COMMERCIAL
Mitindo

FASHION REVOLUTION: TBT NA AY MZEE WA COMMERCIAL 

Tunamjua Ay A.K.A Mzee wa Commercial kama mwanamuziki nguli wa bongo flava kutoka Tanzania ambae chat yake katika muziki huwaga haishuki ana badilika badilika kama kinyonga. Ay au Ambwene Yesaya ni mtu maarufu sana na ukiwa maarufu hatuto kuangalia kama mwanamuziki tu bali hata appearance/muonekeno wako pia tutauangalia tukianzia miaka ya Tisini ndio hivi jinsi Ay anavyo badilika katika game ya mavazi,

mwanafab Ay na Fa hapa fashion ilikua mi suruali mipana na t-shirt kubwa ki hip hop zaidi lakini wao katika zile t-shirt wakaamua ku modify na kuweka picha zao.

404231_10150581517609221_1626259913_n

Ay katika matching outfits yaani nyekundu kila kitu hadi saa

ay

mmh hii hatujui ni style gani ila sio mbaya saaana kwa miaka hio

Ambwene-Yessaya

hii ki Neyo nayo ilipamba moto karibu watu wote walikua wakivaa shati ndani nje kijisweta waki match iko kijisweta na kofia au saa, nice.

12407250_1250459588303797_1281079022_n 12407503_1044213965636548_432390633_n AYTANZANIA

ay sasa suits na nani na nini katoka mbali mno hadi kufikia hapa safi sana ay.

Related posts

2 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-revolution-tbt-na-ay-mzee-wa-commercial/ […]

  2. empresa de informática

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-revolution-tbt-na-ay-mzee-wa-commercial/ […]

Leave a Reply