Kuvaa formal clothes na polished pumps (viatu) inasemekana ina weza ku boost confidence na kuwafanya colleagues kukuona una jielewa na msomi, ina semekana ina wachukua wanao kuinterview sekunde 30 kujua waku ajili au lah kutokana na muonekano wako, kwaio ni vyema ukajitaidi kujua nini uvae kabla ya kwenda kwenye interview na kukosa kazi kisa tu huja vaa vitu vinavyo eleweka hivi ni baadhi ya vitu vya ku consider kuvaa uendapo kwenye job interview
Blazer (Koti) – style za mavazi hubadilika mara kwa mara lakini blazer huwa zina remain constantly kuanzia zamani makoti yame onekana kuwa yanavaliwa kumfanya mtu aonekane formal anae jielewa, kwaio kama unaenda kwenye job interview ni vyema ukavaa vizuri na ukatupia a stylish blazer inayo ku fit vizuri
sleek polished suit – sleek polished suit ina kufanya unekane uko putted together yaani huna mambo mengi kila kitu kime kaa sehemu yake,kama una ingia kwenye ofisi za watu ni vizuri ukachagua neutral colors japo kama upo vizuri kwenye styling pia unaweza kuwa creative na kucheza na rangi
Pumps – pumps zina kupa ule muonekano classic kama una enda kwenye job interview ni vyema ukachagua pumps over open heels au viatu vingine vyovyote,a pair of nude au black pumps zinaenda na any office wear
Patterned Top or Dress – inategemea na kazi gani unaenda kufanyia interview, lakini pia pattern top or dress ina saidia kukufanya uonekane classy pia creative, chagua kimoja kati ya gauni au top yenye pattern na i style vizuri kama na skirt au suruali
wasiliana nasi kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-staples-kwa-ajili-ya-job-interviews/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-staples-kwa-ajili-ya-job-interviews/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-staples-kwa-ajili-ya-job-interviews/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-staples-kwa-ajili-ya-job-interviews/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-staples-kwa-ajili-ya-job-interviews/ […]