SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Stylist Mjifunze Kutoka Kwa Makeup Artist & Hair Stylist
Mitindo

Fashion Stylist Mjifunze Kutoka Kwa Makeup Artist & Hair Stylist 

Leo kwenye indusrty talk tunaongelea kuhusu makeup artist na hair stylist kutoka Tanzania, hawa watu ni marketing genius mnaweza kujiuliza kwanini, Makeup artist na hair stylist huwa ni watu wa kwanza kumpokea upcoming yoyote anayechipukia katika sanaa na kubadilisha muonekano wake kabla hajaonekana na fashion stylist’s ukiangalia watu kama Gigy Money, Amber Lulu,Kim Nana  wote wanamionekano mizuri ya nywele na makeup.

Ukija kwenye swala la mavazi bado wana jikongoja this made us wonder stylist Tanzania hamuoni hawa watu? kama wenzenu hair stylist na makeup artist wanaweza kuwahi tenda ninyi mnachelewa nini?

Inawezekana wasiweze kuwalipa lakini definitely wanaweza kuwaletea wateja hatutaki kuamini kwamba makeup artist na hair stylist wanafanya hivi bure bila kupata kitu in return, tunadhani stylist wetu mnalala sana na hii ndio inapelekea wasanii wetu Tanzania kuonekana hawajui kuvaa, kama mngekuwa mnatumia mbinu ambazo makeup artist na hair stylist wanazo zifaanya tunahakika sasa hivi  tungekuwa level nyingine.

only in Tanzania unakuta celebrity ana makeup nzuri usoni, nywele nzuri lakini mavazi ya ajabu, today we celebrate the hard work of makeup artist na hair stylist kuhakikisha watu maarufu wetu wanapata muonekano mzuri, fashion stylist tungeomba muamke popote mlipo na muwape hawa watu muonekano mzuri, the industry need you.

Related posts

3 Comments

 1. weed delivery Toronto

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-stylist-mjifunze-kutoka-kwa-makeup-artist-hair-stylist/ […]

 2. 토렌트 사이트

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-stylist-mjifunze-kutoka-kwa-makeup-artist-hair-stylist/ […]

 3. Toyota 2023 ราคา

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-stylist-mjifunze-kutoka-kwa-makeup-artist-hair-stylist/ […]

Comments are closed.