SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Tips: How To Look Stylish With These Underestimated Tips
Dondoo

Fashion Tips: How To Look Stylish With These Underestimated Tips 

Kupendeza kila siku kuna hitaji juhudi, kujua nini una pendeza ukivaa, uvaaje tunaweza kusema looking good is a work of art. Na hata kama umpenzi vipi wa fashion kuna siku ambazo unaamkia upande wa kushoto hujisikii kabisa ku dress up. Je unajua kwamba unaweza ukawa hujavaa kivile lakini ukaonekana umependeza mno kwa hizi simple tips?

Piga pasi – unaweza ukahisi ni kichekesho vipi kupiga pasi kuna weza kukufanya uwe stylish? ukiwa katika zile lazy days za kuto kujisikia kuvaa sana nyoosha nguo zako vizuri hata kama utakuwa umevaa jeans na t shirt a good ironing always makes you look smart.

Chana/suka vizuri nywele – yes kuna wakati unaweza kusikia fashionista’s wanasema outfit mbaya lakini nywele zimependeza with a good hair you can get over anything

Rangi ya kucha & lipstick – bold lipstick na kupaka rangi kucha ni chaguo bora zaidi pale unapo hisi hujisikii kuvaa sana ni moja kati ya vitu vinavyo ng’aza muonekano wako

Sneakers & sun glasses – hii inatumiwa zaidi na watu maarufu, bloggers na fashionistas mbali mbali ni simple tip unaweza kuvalia na skirt, suruali, pensi chochote

matumaini yetu tumeweza kukusaidia lakini pia unaweza kutuambia wewe huwa unatumia njia ipi siku ambayo hujisikii ku dress up

Related posts

5 Comments

 1. superslot

  … [Trackback]

  […] There you will find 38375 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-tips-how-to-look-stylish-with-these-underestimated-tips/ […]

 2. buy liberty cap mushrooms online.

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-tips-how-to-look-stylish-with-these-underestimated-tips/ […]

 3. ufabet365

  … [Trackback]

  […] There you will find 12663 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-tips-how-to-look-stylish-with-these-underestimated-tips/ […]

 4. Penis Envy Mushroom

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-tips-how-to-look-stylish-with-these-underestimated-tips/ […]

 5. 토렌트 사이트

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-tips-how-to-look-stylish-with-these-underestimated-tips/ […]

Leave a Reply