SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashion Video Battle Between Fade Away By Victoria Kimani Vs That’s For Me By Vanessa Mdee
Mitindo

Fashion Video Battle Between Fade Away By Victoria Kimani Vs That’s For Me By Vanessa Mdee 

Ulishawahi kuangalia video halafu ukawaza kunasehemu ulisha wahi kuona kitu cha namna hii? Hiko ndicho kilitupata baada ya kuangalia video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee uitwao That’s for me, kuna scene ambayo Vanessa Amevaa beaded hair pamoja na fringe beaded coat na suruali ambayo inafanana na coat, we can call it two pieces. baada ya kuiona hii scene tulikumbuka tulishawahi kuiona kwa msanii mwingine ambae alikuwa ni kutoka Kenya Victoria Kimani na hata kabla hatukuitafuta Victoria ameipost jana kama throwback Thursday yake ( was she throwing shade) sisi na ninyi hatujui.

Video hii ya Victoria Kimani ilitoka mwaka 2017, kwenye hii video victoria yeye alivaa white trouser aki-match na white crop to juu, huku akiwa ameweka beaded purple hair alizo match na lipstick na miwani yake amemalizia na bomber jacket, heels na accessories mbalimbali

Wakati kwa Vanessa Mdee yeye wimbo wake umetoka mwaka huu na amevaa hizi beaded hair za dark purple huku akiwa amevalia na two pieces matching outfit akimalizia na white kneel boots na red lipstick na beaded jacket

Okay Afromates tuambie nani katendea haki hii look katika hawa wawili Vanessa Na Victoria Kimani?

Related posts

3 Comments

 1. LSM99 เว็บตรง

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-video-battle-between-fade-away-by-victoria-kimani-vs-thats-for-me-by-vanessa-mdee/ […]

 2. buy psilocybin mushrooms in denver​

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-video-battle-between-fade-away-by-victoria-kimani-vs-thats-for-me-by-vanessa-mdee/ […]

 3. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashion-video-battle-between-fade-away-by-victoria-kimani-vs-thats-for-me-by-vanessa-mdee/ […]

Comments are closed.