SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashionably Christmas Wishes From Team Afroswagga & East Africa Celebrities To You
Mitindo

Fashionably Christmas Wishes From Team Afroswagga & East Africa Celebrities To You 

Ni Christmas season na leo ndio tunasherekea sikukuu hii, muda huu mwingi huwa tunatumia kupumzika na ndugu, jamaa na marafiki. Sisi Team Afroswagga tunakutakia heri ya sikukuu ya Christamas kwako pamoja na familia yako ni matumaini yetu mtafutahia sikukuu hii kwa namna moja au nyingine.

Lakini pia watu maarufu mbalimbali wametuma salamu za kuwatakia sikukuu njema mashabiki zao na hizi ni chache kati ya ambazo tumeziona zikatuvutia

Mwanamitindo kutoka Tanzania Millen Magese amepost picha ya mtoto wake Kairo ikiwa na theme ya nyeupe na dhahabu huku pembeni akiwa amemuwekea kofia nyekundu na nyeuepe (santa hat) how cute is the picture though?

Stylist Mickyson Amos na yeye amepost hii picture ya mwanae na yeye akiwa in Santa Claus outfit, too cute

Mwanamitindo Tausi Likokola posed with her children for Christmas picture,wakiwa wamevalia blue, white & red outfits, love how simple yet so festival they look

Entrepreneur & fashionable mom Zarina Hassan amepost hii picture akiwa na familia yake kuwatakia mashabiki wake Sikukuu Njema & we have to say “its perfect”

Fashionista Sishikiki slayed in this chic outfit akiwa amesimama karibu kabisa na Christmas tree akiwa anawatakia mashabiki wake sikukuu njema, How perfect is her outfit? she completed the look with a gorgeous smile

 

 

 

Fashionista kutoka Uganda Bettina Tinnah she is in her holiday spirit alipost hii picture akiwa kitandani amevalia bath robe nyeupe na festival socks akiwa amemalizia muonekano wake na pretty makeup na layering accessories. Love it.

Well Have A Merry Christmas & A Very Happy New Year

Related posts

2 Comments

  1. Buy Golden Magic Mushroom for sale Victoria

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionably-christmas-wishes-from-team-afroswagga-east-africa-celebrities-to-you/ […]

  2. best illinois Puppies For

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionably-christmas-wishes-from-team-afroswagga-east-africa-celebrities-to-you/ […]

Comments are closed.