Ruffles zime trend sana zikawa common maana kila mtu anazo amezivaa za kila aina lakini inaonekana Fashionista wameamua kuja na aina nyingine ya hizi ruffle, kinacho nekana kukubalika sana sasa hivi na fashionistas ni hii style ya zenye rangi mbili na inavaliwa mkono mmoja ruffle ambazo ni kubwa kiasi
mara ya kwanza tuliomuona nayo @empress_jamila akiwa amevalia kama body suit na skirt
Tukaja kumuona nayo pia Fashion blogger LaNatria Renee’ Brackett Ellis au @caribbean_cowgirl na yeye akiwa amevalia kama top juu ikiwa nyeusi na mstari mweupe huku akiwa amevalia ruffle trouser na bamboo bag ambayo imetrend sana mwaka huu
na mwisho tukakutana na fashionista mwingine ambae yeye aivaa kama gauni ame accessorize na belt, bangle, hereni na mkufu akimalizia na kofia kubwa pamoja na pumps nyeusi
afroswagga tume approve hii ruffle top je wewe umeionaje? kusoma style nyingine ingia hapa na hapa
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 37794 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-choice-two-colored-magnificent-ruffle-top/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-choice-two-colored-magnificent-ruffle-top/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-choice-two-colored-magnificent-ruffle-top/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-choice-two-colored-magnificent-ruffle-top/ […]