Mitindo ya kiislam ina zidi kukua siku hadi siku si tena baibui tu bali hata sketi na suruali, zikivaliwa ipasavyo zinakupa muonekano mzuri na pia unajistiri wapo ma Hijabista mbalimbali ambao wana weza kukuvutia kwa mavazi yao, na huyu ni mmoja wao anaitwa Sagaaleeya na hii ni mitindo yake iliyo tufurahisha.

@sagaleeyaa 10979608_783765168401836_1520159951_n 12534307_1682663031974513_81641344_n sagaleeyaa-2 sagaleeyaa-3 tumblr_nryon7abS41snoh10o4_500

100612_saga3