Well let’s say Lavidoz anakuwa shoe goals to us, week iliyopita tuliona jinsi alivyo style her Christian Louboutin White Pumps zenye thamani ya Shilingi 1,650,390/- za ki-Tanzania,
Week hii tumemuona Lavidoz akiwa amevaa hizi sneakers kutoka katika brand ya MCM tukaona sio mbaya tukijua ametumia shilingi ngapi kununua hivi viatu
Viatu vinauzwa $340 sawa na shilingi 774,520/- za Ki-Tanzania hivi viatu ni collaboration kati ya kampuni ya Puma na Mcm (Puma x MCM Suede Classic Sneakers)
Yeye alivi -style na bag pack kutoka katika kampuni hio hio ya MCM yenye thamani ya $ 720 sawa na pesa za kwetu shilingi 1,640,340/-
akiwa amevalia viatu hivyo na bag pack hio na shirt dress nyeupe alimalizia na accessories ndogo ndogo kama sun glasses, na bracelets well lets say the outfit is simple but the budget is not to messy with
Kama ungependa kununua bidhaa hizi ingia hapa us.mcmworldwide.com/
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-lavidoz-ametumia-sh-774520-kununua-hivi-viatu-vya-mcm/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-lavidoz-ametumia-sh-774520-kununua-hivi-viatu-vya-mcm/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-lavidoz-ametumia-sh-774520-kununua-hivi-viatu-vya-mcm/ […]