SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashionista Sishkiki Akituonyesha Namna Ya Ku-slay Face Mask
Mitindo

Fashionista Sishkiki Akituonyesha Namna Ya Ku-slay Face Mask 

Sishkiki ni moja kati ya fashionista wanao fanya vizuri katika upande wa fashion kwa sasa, week hii ametuonyesha namna ambavyo unaweza ku-slay outfit yako pamoja na face mask.

Utakuwa unajiuliza kwanini face mask? kama ambavyo tunajua kwa sasa kuna janga la COVID-19 ambapo tumeshauriwa kukaa majumbani, kunawa mikono au kama una safari basi ni vyema ukavaa face mask ili kujiepusha na ugonjwa huu. Wakati wengine tukiwa tunazivaa tu Sishkiki yeye ameamua kuwa fashionable in it.

Sishkiki alivaa hii printed colorful side slit dress ambapo alimalizia muonekano wake na face mask inayoendana na kitambaa cha gauni lake, brown bag na nude shoes, lets say Corona can’t stop the slayage.

Let us know je umependa huu muonekano?

Related posts

5 Comments

 1. ufabet911

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-sishkiki-akituonyesha-namna-ya-ku-slay-face-mask/ […]

 2. wapjig.com

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-sishkiki-akituonyesha-namna-ya-ku-slay-face-mask/ […]

 3. Where to find DMT in Australia

  … [Trackback]

  […] There you will find 37068 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-sishkiki-akituonyesha-namna-ya-ku-slay-face-mask/ […]

 4. magic mushrooms for sale oakland California

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-sishkiki-akituonyesha-namna-ya-ku-slay-face-mask/ […]

 5. health tests

  … [Trackback]

  […] Here you will find 87354 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionista-sishkiki-akituonyesha-namna-ya-ku-slay-face-mask/ […]

Comments are closed.