SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

fashionista’s choice-Off Shoulder Long Sleeve Ruffle Top
Mitindo

fashionista’s choice-Off Shoulder Long Sleeve Ruffle Top 

Unapo ona nguo/kiatu/accessorie etc ambacho fashionista wana kivaa jua ni kitu ambacho kipo hot kwa msimu huo, na kwamuda sasa ruffle & off shoulder top zimekuwa katika trend lakini what if both trendy zikiwekwa katika kitu kimoja? awesome right? basi hicho mdicho kilicho tokea katika hii top ambapo mwaka jana tuliiona aliivaa trendy settler her self, Beyonce akiwa ana perform

na ilionekana kuwavutia wengi mwaka huu almost aslimia 85% ya Fashionistas wame vaa hii top na wame style katika namna tofauti tofauti tunaanza na Stella Uzo wa Jadore Fashion, tumependa namna alivyo stand out bloggers wengi wame istyle hii top na Jeans lakini yeye she went colorful na red pencil skirt na black pumps, alipendeza sana huu mtoko unaweza kwenda nao kokote

Lakini pia kuna South Africa Personal Stylist na Image Consultant  Kefilwe Mabote nae ameonekana kuvaa hii top na skirt nyeupe na pumps za silver ambapo alipendeza mno, pia kwa Kefilwe unaweza kuingia na hii outfit popote kama ni kazini,meetings, au outings na marafiki

lakini kuna wale ambao pia walii style hii top na skin jeans na waka pendeza akiwepo huyu fashion blogger Mia Ventura, yeye alivaa hii top na high waist skin jeans viatu vyeupe aka accessorize na miwani na small bag, casual yet chic

 

Lakini fashion Jackson yeye alivaa hii top na distresses jeans, nude pums na yeye pia ame accessorize na miwani na shoulder small bag

unaweza ukanunua au kutengeneza ya kwako na ku style vile unavyo penda, kama utafanya hivyo usisahau kututag katika mitandao yetu ya kijamii

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamg

Twitter – afroswaggatz

Related posts

5 Comments

  1. golden teacher mushroom tattoo,

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionistas-choice-off-shoulder-long-sleeve-ruffle-top/ […]

  2. Where to buy DMT New South Wales

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionistas-choice-off-shoulder-long-sleeve-ruffle-top/ […]

  3. สล็อตวอเลท

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionistas-choice-off-shoulder-long-sleeve-ruffle-top/ […]

  4. oregon magic mushrooms for sale​

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionistas-choice-off-shoulder-long-sleeve-ruffle-top/ […]

  5. mafin365

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionistas-choice-off-shoulder-long-sleeve-ruffle-top/ […]

Leave a Reply