Zimepitasiku mbili toka msanii diamond platnumz aachie wimbo wake mpya “kidogo” ambao amewasjirikisha wasanii wakubwa kutoka Nigeria ‘P Square”. Ikiwa wengi walionekana kusifia wimbo lakini ma Fashionista hawa wawili waliamua kutoa yao kuhusu fashion “mavazi” yaliyo tumika katika video hio.
ambapo wote wawili Hapiness Magesse na Martin Kadinda walisema wamependezewa na uvaaji katika video hio
Kupitia ukurasa wake wa instagram Hapiness Aliandika
@ladivamillen So I watched the video 👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼 and I love it👌🏼 Well done @diamondplatnumz @officialpsquare …….. #FashionAndStyle ….Catch that touch of red on his suit ✔️…. Touch of red on his white hat ✔️ #Touch of yellow ,red on black and white on the dancers ✔The black and white sports Jackets ✔️plus they DAB 🙈😊… Black ,grey and White background brought out beautiful Contrast ✔️ #MyOpinion😊Catch that scene when at P Square is dancing on top of All white and touch of black speakers ✔️ . The touch of luxury ( opening scene✔️) I love the video watch it on you tube #Kidogo – Diamondplatinumz Ft P Square . #BeyondMusicVideosWithMillenMagese #FashionAndStyling👠👓👑👜💼👞🐅 #MillenMagese👑💛WATCH Full video on You tube link on @diamondplatnumz page .Big up to the stylist and designers . Tag them #MillenMagese👑💛
Wakati Martin nae hakuwa nyuma
Martin Kadinda
Maturity of sense of Style from Iconic @diamondplatnumz, i swear i have never been carried away as the way this fashionable music video did(Kibongobongo)
1. Coordination of colour
From Black and white Feel to Red and yellow.. And at the end that brown Lion… Clearly the director had an Eye on details of this video.. Nothing much nothing shouty… I salute You and the team @wcb_wasafi dancers… The twins @peterpsquare Eissssh I see alot of nominations and awards as well…. #leaderofthepack #AfricanFinest #mwananaBoys✨✨
Kama bado hujaangalia video hio tazama hapo chini na kisha utupe maoni yako
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…