SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fashionnova Yashtakiwa Na Versace Kwa Kucopy J Lo’s Iconic Jungle Print Dress
MILAN, ITALY - SEPTEMBER 20: Jennifer Lopez walks the runway at the Versace show during the Milan Fashion Week Spring/Summer 2020 on September 20, 2019 in Milan, Italy. (Photo by Jacopo Raule/Getty Images)
Habari

Fashionnova Yashtakiwa Na Versace Kwa Kucopy J Lo’s Iconic Jungle Print Dress 

Imekuwa kawaida ya kampuni za fast fashion ku-copy design za wabunifu wakubwa na kuziuza kwa bei ya chini, moja ya makampuni yanayasifika kwa kufanya hivi ni Fashionnova.

Watu maarufu mbalimbali wamekuwa wakilalamikia hii tabia ya brand hii mmoja ya watu maarufu ambao walijitokeza na kuwasema hadharani ni mwanadada Kim Kardashian.

Safari hii Italian luxury fashion companyย  Versace imeshtaki brand ya Fashionnova kwa ku-copy iconic dress kutoka kwao ambayo ilivaliwa na mwanadada Jennifer Lopez katika Tuzo za Grammy mwaka 2000.

Jlo kwenye tuzo za Grammy, 2000

The dress is so iconic sababu mpaka kesho inashika chat ya best dress red carpet looks, September mwaka huu hii gauni ilikuwa inafikisha miaka 20, ambapo Versace walimpandisha J Lo katika show yao akiwa amevalia hili gauni, Iconic.

J Lo Katika Versace fashion show, 2019

Kama ilivyoada ya Fashionnova wakatumia nafasi na ku-copy gauni hili na kuliuza katika website zao, well Versace said you can’t disrespect its iconic dress like that na wameamua kuwafikisha mahakamani.

“Fashion Nova’s infringing apparel is plainly a deliberate effort to exploit the popularity and renown of Versace’s signature designs, and to trade on Versace’s valuable goodwill and business reputation in order to drive profits and sales to line Fashion Nova’s pockets,” Versace’s lawyers wrote in a lawsuit filed in the central district court of California on Tuesday.

The court documents included a series of side-by-side photos, which they used to highlight the alleged copyright issues.

Well Afromates mnadhani ni sawa Fashionova wanachokifanya au ni sawa? tuambie kupitia box letu la comment hapo chini

Related posts

1 Comment

  1. gummies 7/11

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fashionnova-yashtakiwa-na-versace-kwa-kucopy-j-los-iconic-jungle-print-dress/ […]

Comments are closed.