Fatema Dewji ni moja kati ya fashionista’s ( Hijabista) ambao wanatuvutia sana kwa sasa kutokana na muonekano wake.
Week hii tulim-spot Fatema akiwa amevalia hii bag kutoka kwa brand ya Louis Vuitton, Fatema alivalia bag hii pamoja na statement black top, jeans na hijab huku akiwa amemalizia na Lv belt, saa, pete na miwani.

As usual tukaona si mbaya kama tukiwataarifu mates wetu kuhusu bag hii inauzwa shilingi ngapi na wapi pakuipata kama mngependela kuwa nayo
Hii bag inauzwa $ 1,640/- ambayo ni sawa na Tsh 3,786,268. Sifa za hii bag ni kwamba : The Multi Pochette Accessories is a hybrid cross-body bag with multiple pockets and compartments that brings together a Pochette Accessoires, a Mini Pochette Accessoires and a Round Coin Purse. Fashioned from Monogram canvas with a mini Monogram pattern on the sides of the two pochettes, it has both a removable gold-tone chain and an adjustable Louis Vuitton inscribed Jacquard strap for multiple carrying options.

Well tukaona si mbaya pia tukiwaangalizia na mkanda unauzwa kiasi gani, mkanda unauzwa $490/- hii ni sawa na Tsh 1,131,263/-

Kama ungependa kununua hii bag unaweza kuingia hapa MULTI-POCHETTE ACCESSOIRES
mkanda ingia hapa LV INITIALES 40MM
Tuambie je mkanda au bag yako ambayo umenunua pesa nyingi umenunua kwa kiasi gani?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fatema-dewji-rocking-louis-vuitton-multi-pochette-bag-yenye-thamani-ya-tzs-3786268/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fatema-dewji-rocking-louis-vuitton-multi-pochette-bag-yenye-thamani-ya-tzs-3786268/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fatema-dewji-rocking-louis-vuitton-multi-pochette-bag-yenye-thamani-ya-tzs-3786268/ […]