SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fatima Dangote Simple Wedding Dresses
Mitindo

Fatima Dangote Simple Wedding Dresses 

Mtoto wa billionaire kutoka Nigeria Aiko Dangote ameolewa, Kama tunavyojua wenzetu Nigeria wanavyo penda kupania katika sherehe zao na huyu ni mtoto wa bilionea tukajua atakua extra kiasi fulani lakini Fatima ametushangaza kwa kuamua kuwa simple (ametushangaza in a good way), wakati mwingine less is more na hapa ndicho alicho kifanya Fatima.

Fatima alivaa a white dress kutoka kwa mbunifu kutoka Nigeria, yess Nigeria hajaenda Dubai wala China kutafuta a wedding dress ametumia local designer aitwae @deolasagoeofficial

Alivaa all white dress ambayo mbunifu wake aliitaja kama “Details on an All White Trumpet Silhouette dress with embellished creeping flower elements for #DeolaBrideFatima Dangote” Gauni lake lilikuwa simple with nice details

Makeup yake ilikuwa on point simple but classic, pia kutokana na Dini yake Fatima alivaa kiremba cheupe ambacho kilikuwa na details ya ua kwa mbele ambacho kilifanya kiwe unique. She wore nice accessories zilizo match na gauni yake (we wonder if those accessories are white gold or diamond’s)

 

pia alivaa a champnage dress kutoka kwa mbunifu huyo huyo, mbunifu alitupa little details katika gauni hilo ambapo ameandika “Fatima Dangote in Champagne A-line dress with tulle embellished corsage”

ilikuwa na a long feather detail veil

Well we love the dresses

 

Related posts

3 Comments

  1. Albino Penis Envy Mushroom Psilocybin

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fatima-dangote-simple-wedding-dresses/ […]

  2. why not try here

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fatima-dangote-simple-wedding-dresses/ […]

  3. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Here you will find 74117 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fatima-dangote-simple-wedding-dresses/ […]

Comments are closed.