Fawwie for you ni make up artist na fashionista kutoka Tanzania na Hilary Duff ni mwanamuziki na muigizaji kutoka America, Hilary na Fawwie wame kuwa spotted katika vazi la aina moja (lenye kufanana na kutoka kwa mbunifu mmoja) Gucci, tunajua pleated zipo kwenye trend kwa sasa ni ya pleated na ina toka kwa mbunifu Gucci ambayo ipo katika collection ya summer 2017
Hilary alikuwa spotted amevaa gauni hii ya Gucci akiwa location akifanya movie mpya, yeye alivaa kama gauni na nude heels
Wakati Fawwie alivaa the whole set akimalizia mtoko wake na baby pink valentin0 heels na black handbag
picha zikionyesha nguo hio kati ya Hilary na Fawwie
gauni ina thamani ya USD 4,700 sawa na Tsh 10’340’000
una weza kushop au kuangalia bei ya gauni hilo hapa Lunex pleated dress
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fawwie-for-you-hilary-duff-in-gucci-lurex-pleated-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fawwie-for-you-hilary-duff-in-gucci-lurex-pleated-dress/ […]