Sophia Webster Butterfly Heels si ingizo jipya la kiatu sokoni, vipo toka mwaka 2013 lakini when its a good, shoe it is a good shoe hakito toka nje ya style,
viatu hivi tumeviona sana mwaka 2014-2015 mwaka jana vika pumzika lakini inaonekana mwaka huu vimerudi lakini kurudi kwake ni kwetu sisi huku wa- Africa tumeona Fashionista’s watatu wakiwa wame virock nao ni Funmi Alaiyemola, Fauzia Abdulkadir, na Mwamvita Makamba
Funmi Alaiyemola A.K.A funminewyork, Ni Nigerian Super Model ambae ana slay kinoma noma, ameonekana akiwa amevalia viatu hivi na floral dress yenye rangi ya blue na side handbag ya blue
Fauzia Abdulkadir Fawwie_For_you A.K.A Ni makeup artist na fashionista kutoka Kenya, yeye ameonekana kuvaa viatu hivi mara kadhaa vikiwa katika style tofauti tofauti (seems like anavyo pair nyingi) ukikipenda nunua in every color right?
Fauzia akiwa amevaa black & Gold Sophia Webster Heels
Fauzia akiwa amevalia color ful Sophia Webster Chiara Butterfly Heels
Mwisho ni m-Tanzania Mwamvita Makamba moja ya slayers tunao waaminia Nchini yeye ameonekana akiwa amevalia viatu hivi vya rangi ya gold
Vinauzwa kuanzi Eur 450, unaweza kununua Hapa , kujua kiatu gani kingine kina trend click hapa
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…