SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Balmain On Hamisa Mobetto, Maua Sama & Macrida Joseph
Mitindo

Balmain On Hamisa Mobetto, Maua Sama & Macrida Joseph 

2021 tuliona ambavyo watu maarufu wengi walikuwa wajirabu styles mbalimbali na ku-dare kuwa wa tofauti, tupo 2022 na tunajaribu kujua nini kitafuta lakini mpaka sasa tunaweza kusema tunapenda tunachokiona.

Tumewaona Fashionista’s Hamisa Mobetto, Maua Sama na Macrida Joseph wakiwa wamevalia hizi outfits za Balmain ambapo mara ya kwanza tuliziona kwa Maua yeye alivaa mwaka jana akiwa styled na Macrida Joseph kisha tukamuona Macrida akiwa ameivaa yeye yake ikiwa tofauti kidogo kwani alivaa leggins na sio biker short lakini pia tumeona Hamisa Mobetto na outfit inayoendana na ya Maua.

well let us know nani ame style vizuri hii fit kati ya hawa watatu?

Related posts

1 Comment

  1. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fendi-prints-on-hamisa-mobetto-maua-sama-macrida-joseph/ […]

Comments are closed.