Fendi is having a moment wakati msimu uliopita ulikuwa all about the logos and oh boy tulizichoka, mtaani kila mtu kavaa Fendi Logo, ukiingia mitandaoni Fendi but well its all about the Mulla & mapenzi na trends za fashion, katika Collection ambazo tulikuwa tunazisubiri kwa hamu basi Fendi ni moja wapo tulitaka kuona kipi kipya? Je tutaona watu wakiwa wamevaa hizi Fendi? Je Logos zitaendelea kuwepo? Fendi kaenda kushoto kabisa na mategemeo yetu they brought a collection with less logos and more worable pieces ambazo zina neutral na neon colors we love this collection.
Transparent vinyl raincoat & Skirt zilitamba. zikiwa zimeongezewa na touch’s za leather, tumependa namna zilivyo kuwa styled mtu yoyote anaweza kuvaa.
Leather & Fendi Logo coats hii collection ipo perfect the colors, the details kama colors and finishing iko perfect huachi kuiangalia.
The Biker Shorts za Fendi, hiki ndicho ambazho tunaona kita trend sana katika collection hii as we all know Kim Kardashian alikuwa anazivaa sana na sasa hivi watu maarufu wengi wanazivaa.
Pleated Skirts X Fanny Packs, Fendi did that the collection is very worable, well hakuna kipya ila ni jinsi ambavyo wame style hii collection kukuonyesha namna unaweza kuvaa na ukaonekana stylish na rangi zake ndivyo ambavyo vimetuvutia zaidi.
Mustard Yellow for the win, colorful outfits zipo on trend kwa sasa.
Denim
Neutrals colors
Umependa hii collection au lah? tuandikie hapo katika box la maoni
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fendi-spring-2019-ni-moto-wa-kuotea-mbali/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 5398 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fendi-spring-2019-ni-moto-wa-kuotea-mbali/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fendi-spring-2019-ni-moto-wa-kuotea-mbali/ […]