Mwanadada Rihanna anasifika kwa kutafuta hela “Securing The Bag”, alianza na mziki akafanya collaboration na fashion brand mbalimbali, hatukupumua akaja na Fenty beauty na sasa ameanzisha clothing line akiwa na fashion brand ya LVMH. Na kwa mapokeo ambayo tunayaona tunaweza kusema Rihanna anaweza kuzifanya fashion brand kama Gucci na Fendi kupumzika kidogo mitaani.
Collection yake hii ya kwanza imetoa mavazi 18, lakini pia kuna accessories kama miwani (ambayo imeonekana kupendwa sana), viatu na hereni.
Imeonekana mtaa umeanza kuelewa mavazi hayo kutoka kwa Ririh watu maarufu wameonekana kuyatupia tumemuona Bollywood Sweet Heart Sonam Kapoor akiwa amevalia hii pink suit kutoka kwa fenty amemalizia na Jordan Kicks
Wakati mwanamitindo Bella Hadid yeye aliamua kuwa head to toe fenty kwa kuvaa hii white short dress kutoka kwa Fenty, miwani na neon green shoes vyote kutoka katika kampuni ya Fenty
Mpaka sasa inasemekana kuna baadhi ya vitu kutoka katika collection hii vipo sold out, Okay Riri take our coin.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-clothing-line-might-put-fendi-and-gucci-on-pause/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-clothing-line-might-put-fendi-and-gucci-on-pause/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 99225 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-clothing-line-might-put-fendi-and-gucci-on-pause/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 9755 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-clothing-line-might-put-fendi-and-gucci-on-pause/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-clothing-line-might-put-fendi-and-gucci-on-pause/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-clothing-line-might-put-fendi-and-gucci-on-pause/ […]