Jana usiku Rihanna ali debut collection yake nyingine tena ya Fenty X Puma Fall 2017, compare to mwaka jana mwaka huu nguo zina eleweka na hata mtu wa kawaida ana weza kuvaa (we guess Kanye & Rih put some sense into each other),
Collection iko very colorful na ni half school girl harf bad girl yaani ame channel watu wote and we love that, hizi ndizo baadhi ya nguo zilizopo kwenye collection yake na some are our faves lakini kabla hatuja kupeleka huko most shoking thing ilikua huyu model kupita boobs zikiwa nje.

dark blue,orange & Burgundy

S
Seems like hii collection ina kubidi uwe na abs na boobs to show off



kama wewe si mtu wa rangi basi hizi zina kufaa inaonekana draft ina make a come back







Yellowish



Tuambie je collection hii umeionaje kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggatz
Twitter – afroswaggamag
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-puma-by-rihanna-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 81333 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-puma-by-rihanna-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-puma-by-rihanna-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-puma-by-rihanna-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-puma-by-rihanna-collection/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fenty-puma-by-rihanna-collection/ […]