Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up.
Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa sasa Feza anaendelea na kazi yake ya muziki, tumepata nafasi ya kufanya nae interview kuhusu swala zima la mitindo na haya ndiyo mahojiano yetu.
Afro: Katika maneno matatu unailezea vipi style yako?
Feza : Comfortable Comfortable Comfortable
Afro: Tumekuwa tukikuona kwenye tomboy style kwa muda mrefu, tuambie Zaidi kwanini hii style?
Feza: Napenda kuwa Comfortable, as a kid I was very fat, my parents had to dress me in shorts to help my inner thighs lol. Also I was an athlete in school, I played football, used to ran na pia swimming. Honestly I’ve always loved trousers na loose tops. It’s just who I am kiukweli ndio nilivyo.

Afro: Wasichana wengi ambao wanakuwa na style ya tomboy wanakuwa judged vibaya na jamii, uliwezaje kuhandle the backlash na ushauri kwa wasichana wengine wanaopitia ulipopitia kutokana na style hii.
Feza: It’s sad mpaka leo nakuwa judged na mavazi yangu. The good thing ni kwamba najitambua, najielewa na I know who I am. It’s hard to break someone who knows who they are. Ndio maana nachekaga tu, au like now nimeamuwa kupost pictures nikiwa na magauni na makeup for fun kuona reaction za watu. What I’ve found out ni kwamba people will always talk regardless. I’ve always known this but I hope people will see it and learn to be themselves. Wasikubali kubadilika kufurahisha watu. Usuauri ni always be you FULL STOP

Afro: ama media personality kunakuwa na pressure ya kuonekekana perfect wakari wote, kwako wewe ikoje?
Feza: The pressure is real in this day and age. Hatuwezi ku-keep up because no one is perfect. Personally my personality na character does not allow me to be fake, this is not a bad thing but for society these days it’s portrayed otherwise
Afro: Linapokuja swala la fashion na style ni vitu gani unaviogopa (vitu ambavyo unahisi hutokuja kuvivaa)
Feza: Naogopa sana vimini. I don’t think napendeza nikivaa. Upepo ukipita kwenye mapaja naona niko uchi lol
Afro: Tuongelee kuhusu nywele mara nyingi tumekuona na low cut, kuna wasichana ambao wanapoteza kujiamini wakinyoa nywele wewe kwako ipoje?
Feza: Katika kitu Mungu kanibariki nayo ni Super Confidence about my looks. Naamini hata nivae nini au niweke nywele gani, ill always be HOT. So nawashauri wajiamini na wajue Mungu hajawahi kuumba mtu mbaya, never!

Afro: Feza una body goals kila siku tunamuona Feza yuleyule tupe siri ya mafanikio, una maintain vipi mwili wako?
Feza: Yes, nna body goals ambayo bado sijaweza ku achieve mpaka leo. Napenda body flani lean and full of muscles, very toned na is love pacs on my belly. I work out half of the year then relax on the other half. Now that I’m 30 nataka niambie ku work out throughout the year because naona it’s really hard to maintain. I’m currently a size 14 and my goal ni size 10. (Side note) I don’t look as fat as I am because I know how to dress my weight, this is major key!!!
Fun Questions
- Afro: Heels Or Sneakers?
- Feza: Sneakers
- Afro: Makeup Or No Makeup?
- Feza: No Makeup
- Afro: Fit In Or Stand Out?
- Feza: Stand Out
- Afro: Trendy Or Fake Designer?
- Feza: Trendy
- Afro: Long Or Short hair?
- Feza: Short Hair
Afro: Katika red carpet zako zote look ipi ambayo unaipenda Zaidi?
Feza: Napenda the black pants I wore with a yellow cape some time back. One of my favs for sure.

Afro: Unashop mitumba? Kama ndio sehemu gani?
Feza: Yes na shop mitumba. Naletewaga sometimes so sina sehemu specific. Zamani when I had no money nilikiwaga naenda karume sana, reason nimeacha is because I have allergies na zile harafu za nguo gave me mafua balaaaa! Also because now I can afford to shop in some nice stores.
Afro: Unaionaje Tasnia ya mitindo Tanzania?
Feza: Tasnia ya mitindo Tanzania bado ni copy paste sana! Hivyo tu.
Afro: Nani ana ku-inspire katika fashion & style?
Feza: Sina mtu ambaye namtizama for inspiration per say but I like Teyana Taylor’s style also Dj Zhinle (hope I spelled their names right)


Afro: Chochote ambacho ungependa kuwaambia wa-Tanzania?
Feza: I wish as Tanzanian’s we would embrace diversity zaidi, sio lazima wote tufanane. Wote tuvae lace wigs na short tight stuff ndio tuwe fashionable, naaaaah that’s not too creative. Let’s be more creative and love each other na utofauti wetu.
Thank you
Regards,
Feza.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 936 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/feza-kessy-atuelezea-kuhusu-fashion-style-zake/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/feza-kessy-atuelezea-kuhusu-fashion-style-zake/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/feza-kessy-atuelezea-kuhusu-fashion-style-zake/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/feza-kessy-atuelezea-kuhusu-fashion-style-zake/ […]