Kuwa mbunifu ni pamoja na kuleta kitu cha tofauti au kipya katika ubunifu wake. Elfrida Emmanuel au Fifi Sugar Design ni moja kati ya wabunifu ambao wanabuni mavazi ya kawaida lakini mostly Fifi anabuni mavazi ya harusi hasa kwa upande wa wanawake, na hii iwe bridal dress, wedding guest, kitchen part, bride maids dress au send off dresses you name it.
Kwa sasa hivi Fifi amekuja na hii style ya kipekee kabisa ya Bridal Tail Style ambayo sisi tumeipenda,
hii tail si kama zile ambazo tumezizoea ambazo zinaunganishwa moja kwa moja na kitambaa cha gauni, Fifi yeye amebuni hii ambayo inakuwa na rangi sawa na gauni lakini sio kitambaa kilekile cha gauni.
anachukua rangi moja ya kitambaa cha gauni ambayo anaifanya kuwa ndio rangi ya tail pia. kama hii ambayo alichukua purple
Na hii ambayo ilikuwa ya pink.
Well tumependa kuona kitu cha tofauti hasa katika upande wa ubunifu wa nguo za harusi maana wengi huwa wanaigiana hakuna kipya.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-design-amekuja-na-hii-signature-bridal-tail-style/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 5187 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-design-amekuja-na-hii-signature-bridal-tail-style/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-design-amekuja-na-hii-signature-bridal-tail-style/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-design-amekuja-na-hii-signature-bridal-tail-style/ […]