SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FIFI SUGAR DESIGN & HAMISA DEBUTED RANGI YA MWAKA (GREENERY)
Mitindo

FIFI SUGAR DESIGN & HAMISA DEBUTED RANGI YA MWAKA (GREENERY) 

Designer anaye kuja kwa kasi kabisa anaekwenda kwa jina lake la ubunifu fifi sugar design japo jina lake ni Elfrida Emmanuel, yeye pamoja na mwanamitindo anae fanya nae kazi mara nyingi bi Hamisa Mobetto wame debut Color of the year (greenery) ni mwanzo mzuri wa kuuanza mwaka kwa m’bunifu kutumia rangi ya mwaka huo. Lakini this color though itatutesa sana mwaka huu

Fifi ame fanya kazi kubwa sana katika hii dress we are loving it all the way

as usual Hamisa haja disappoint in it

Je Yay or Nay? tupe maoni yako kupitia

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – Afroswagga

Related posts

1 Comment

  1. his response

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-design-hamisa-debuted-rangi-ya-mwaka-greenery/ […]

Leave a Reply