Linapokuja swala la harusi vitu vingi vinakuwa kichwani mwa mwenye shughuli, watu watakula nini? ukumbi atapamba nani? mwenye harusi avaaje? je wasimamizi wake? rangi gani wavae? ni shughuli pevu na kama kusinge kuwa na wabunifu na mafundi wa kutusaidia basi unaweza kughaili na shughuli yenyewe, well mbunifu Fifi Sugar ameonekana kutupa ladha tofauti kidogo katika kuwavalisha wasimamizi wa bibi harusi, tumezoa rangi ambazo ni calm lakini yeye amewavalisha bright yellow, hatujui kama ni chaguo la wenye harusi au ni idea yake all in all we love the concept.
bride maids hawa walivaa one shoulder yellow dress ambayo mkono wake ni very stylish mrefu to a toe point, pale ambapo gauni limeishia & gauni ilikua flattered
Rangi ya Njano ina simama kwa ajili ya wisdom,furaha (hapiness) & intellectual energy, Rangi ya njano pia ni imaginative colour and chosen by those seeking self-fulfillment and adventure. rangi ya njano huchaguliwa na watu wacheshi. Well labda ni sababu hizo zilizo mvutia bibi harusi huyu na mbunifu wake kuchagua rangi hii.
Tumependa mshono, tumependa rangi ni kitu tofauti na kile tulichozoea, big up fifi we can see umeanza mwaka vyema.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-is-giving-us-yellow-vibes-for-bride-maids/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-is-giving-us-yellow-vibes-for-bride-maids/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 21050 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-is-giving-us-yellow-vibes-for-bride-maids/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-is-giving-us-yellow-vibes-for-bride-maids/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-is-giving-us-yellow-vibes-for-bride-maids/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/fifi-sugar-is-giving-us-yellow-vibes-for-bride-maids/ […]