SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Flash Back To Wema Sepetu’s Birthday Parties Outfits
Mitindo

Flash Back To Wema Sepetu’s Birthday Parties Outfits 

Oh well leo Tanzania Sweetheart Wema Sepetu ana timiza miaka 30 na hii ndio alisema itakuwa birthday yake kubwa kufanyika, the fabulous thirty, tumeona tuwaletee baadhi za outfit zake alizozivaa katika miaka yake ya nyuma kidogo na nini ambacho tunategemea kukiona leo

Akiwa ana sheherekea kuingia miaka 26, Wema alifanya birthday party na hii ndio dress aliyoivaa, one shoulder white dress ambayo ilikuwa na slit kwa mbele na glitters around the waist area, alipendeza ameachia nywele zake & makeup on point.

Akiwa ana sheherekea miaka 27 Wema alifanya royal birthday party na dress code ilikuwa white, yeye ali show up in off white dress yenye glitters well she looked good we all know Wema huwa anapendeza in these kinds of dress kwa sababu ya mwili wake. 

Miaka 29 hakufanya birthday party lakini pia haikumzuia kutu bless na outfit yake ya birthday, she wore this purple number kutoka kwa mbunifu Elisha red label, showing cleavage as the dress ilikuwa off shoulder, giving us the leg situation na hii long slit alipendeza na makeup yake the only thing that was off to us ni viatu.

Well with all this flash back unafikiri birthday ya leo au mwaka huu Wema atavaa nini?

Related posts

5 Comments

 1. บาร์โฮส

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flash-back-to-wema-sepetus-birthday-parties-outfits/ […]

 2. Read Full Report

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flash-back-to-wema-sepetus-birthday-parties-outfits/ […]

 3. take a look at the site here

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/flash-back-to-wema-sepetus-birthday-parties-outfits/ […]

 4. บ้านมือสอง

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flash-back-to-wema-sepetus-birthday-parties-outfits/ […]

 5. สล็อตเว็บตรง

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/flash-back-to-wema-sepetus-birthday-parties-outfits/ […]

Comments are closed.