Mwanamitindo mkubwa kutoka Tanzania Bi Flaviana Matata au Mrs Massawe juzi aliwatembelea wanafunzi wanao jifunza ujasiriamali katika kampuni ya vipodozi ya manjano. Kampuni hii inamilikiwa na Mwanamama wa ki-Tanzania Bi. Shekha Manjano ambae ametoa fursa kwa wasichana na wamama kujifunza kuhusu vipodozi na pia ujasiriamali.

Flaviana alitembelea darasa hili na kuwa Inspire, kuwasuprise na kupiga nao picha.

IMG-20151004-WA0056 IMG-20151004-WA0057 IMG-20151004-WA0059 IMG-20151004-WA0061 IMG-20151004-WA0062 IMG-20151004-WA0065

Comments

comments