SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Flaviana Matata, Nancy Sumari Na Jacqueline Mengi Wedding Dresses
Mitindo

Flaviana Matata, Nancy Sumari Na Jacqueline Mengi Wedding Dresses 

Leo katika throwback tuomeona tukuletee haya magauni ya harusi ambayo yalivaliwa na hawa fashion divas kutoka Tanzania, well hatudhani kama kuna ambae hawajui hawa divas ambao walifanya vizuri katika nyakati zao, lakini pia ambao wanaendea kufanya vizuri mpaka sasa. Kwanini tumeamua kuweka magauni yao harusi? Kila mwanamke au msichana huwa na ndoto ya vipi harusi yake itakuwa wengi tunakuwa tumesha weka picha kichwani tutavaa nini na kuonekana vipi, well Flaviana na Nancy wao waliota ndoto moja ambapo wote waliamua kuwa na short natural hair wakati Mrs. Mengi yeye ndoto yake ilikuwa tofauti na hawa wawili, lakini pia magauni yao hayafanani tukaona tuwaletee hizi wedding dresses na kukwambia kwamba its okay to be different kila mtu ana ndoto zake tofauti.

Flaviana alivaa off shoulder cinderella dress, ambayo ilimpendeza mno as her body ni ndogo hii ilikuwa perfect choice for her, Flaviana aliamuwa kuwa na less accessories as we all know si mpenzi wa accessories sana akamaliza na natural short hair do.

The back

Jacqueline Mengi yeye alivaa strapless dress na yeye ya Cinderella, she went minimum on her makeup akamalizia na head piece accesories na dropped earrings, well less is more our darlings.

Nancy Sumari yeye alivaa caped dress, ame accessories na fascinator head piece, wakati akiwa na short hair do, amemaliza muonekano wake na minimum accessories na makeup, well sometimes all you need is that statement dress.

Related posts

3 Comments

  1. apk para samsung atualizado

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-nancy-sumari-na-jacqueline-mengi-wedding-dresses/ […]

  2. magic mushrooms portland oregon​

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-nancy-sumari-na-jacqueline-mengi-wedding-dresses/ […]

  3. Gun SHOP USA

    … [Trackback]

    […] There you will find 67596 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-nancy-sumari-na-jacqueline-mengi-wedding-dresses/ […]

Comments are closed.