SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Flaviana Matata Red Carpets Looks From Way Back
Habari

Flaviana Matata Red Carpets Looks From Way Back 

Ukiongelea list ya watu walio na wanao endele kuipeperusha vizuri bendera ya Tanzania katika Mitindo huwezi kuach kumtaja Flaviana Matata, alianza kujulikana mwaka 2007 aliposhinda katika shindano la Miss Universe, na akaenda kutuwakilisha katika Miss Universe World mwaka huohuo alifanikiwa kuingia katika 15 ya semifinalist na kushika namba 6 katika evening gown competition, Na Flavy ndio Miss wa kwanza kulifungua shindano la Miss Universe.

Kutoka Hapo amekua akituwakilisha vyema katika mitindo amepata deals mbalimbali kubwa na kufanya kazi na magazeti makubwa mbalimbali kama Marieclaire, Essence, Elle Magazine etc.

Leo tunaongelea red carpet looks zake za kitambo hicho tunaweza kusema Flavy been woke since way back

Mwaka  2010 Flaviana aliattend African Wildlife Foundation auction dinner at the American Museum of Natural History New York akiwa amevalia gold and black dress ambayo ilikua na one shoulder akamaliza na gold rounded hearings na bangle.

 

Hii ilikua mwaka 2012 katika shindano la Red Miss Tanzania, Flaviana alivaa black & silver dress yenye feathers na stones, as usual alikua na low cut na simple accessories with almost no makeup, makeup look.

 

Red Ribbon Fashion Gala 2012, alivaa red & clream backless dress iliyo mfit very well, akamalizia muonekano wake na black clutch na gold accessories.

Hii nayo ni moja ya favorite look kutoka kwake miake michache iliyo pita. 

Related posts

2 Comments

  1. Koh Samui Supe Mushrooms – 4 Oz

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-red-carpets-looks-from-way-back/ […]

  2. mafin365

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-red-carpets-looks-from-way-back/ […]

Comments are closed.