SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Flaviana Matata Slaying The NYFW 2019 While Letting The Haters Know She Is Good Love Enjoy
Mitindo

Flaviana Matata Slaying The NYFW 2019 While Letting The Haters Know She Is Good Love Enjoy 

Mwanamitindo wa kimataifa mwanadada Flaviana Matata ameonekana ku-enjoy mitaa New York Fashion Week 2019, she kept on updating us kwenye show anazoenda lakini pia amevaa nini, well kabla ya kwenda huko Flaviana took her instagram page kuwaambia watu kwamba she is good don’t worry about her na mwili wake.

Nyakati kama hizi ndizo huwazinafanya wengi kujifikiria kuwa watu maarufu mara mbilimbili, people talks about you uwe unafanya jambo zuri au baya lets say hakunaga jema, tumezoea kuona watu maarufu kutoka Nchi za Nje wakilalamika kuwa body shamed guess what? Tanzania nayo imeingia kwenye hio list as watu walikuwa wanamsema Flavy kakonda sana “But isn’t she a model though? yeye akaamua kuwajibu kwamba “he is healthy and that’s what matters the most 💅🏾#ShavuLinajieleza#WakujikondeshanaUsoNaoUngesinyaa” this is what we say “Back to the sender”

Well enough with the body shaming story turudi kwenye slayage zake huko katika New York Fashion week, our girl don’t disappoint tuseme tu kaibeba Tanzania na vitongoji vyake kwa ujumla,

Katika #AmfarGala Flaviana alivaa hii blue velvet dress ambayo ina mpasuo mbele and a lil cleavage, ambapo alimalizia muonekano wake na short hair, no makeup look na accessories kama clutch, hereni na pete na silver strap sandals, we love this look on her.

Wakati alipoenda kuhudhuria show ya Jonathan Cohen Flaviana alivaa hii pink bodycorn dress yenye maua, ambapo alimalizia na floral jacket ya pink iliyo match na gauni yake na white pumps, so #nyfw

She rocked this short black & whute floral dress wakati ameenda kwenye show ya mbunifu Rebecca Minkoff, amemalizia her look with lether jacket, min handbag na white pumps, gotta say the New York Fashion Week street will definitely know her name.

Let the coat do the talking,

Well Afromates outfit ipi kutoka kwa Flaviana uliyoipenda the most?

Related posts

2 Comments

  1. mp3juice

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-slaying-the-nyfw-2019-while-letting-the-haters-know-she-is-good-love-enjoy/ […]

  2. tv hen tai gucken

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-slaying-the-nyfw-2019-while-letting-the-haters-know-she-is-good-love-enjoy/ […]

Comments are closed.