SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Flaviana Matata The Coolest Wedding Guest
Mitindo

Flaviana Matata The Coolest Wedding Guest 

Wakati kwasasa tunaendelea kushuhudia namna Wedding Guest wanavyo pambana kuvaa washindane na Bibi harusi it’s refreshing kuona kuna baadhi ya watu wakiwa wanawapa ma bibi harusi nafasi ya kushine.

Week iliyopita tumemuona International Model, Flaviana Matata akiwa amehudhuria harusi huku akiwa amependeza bila kutumia nguvu nyingi, Flaviana alivalia a strapress cocktail Black dress akiwa amemalizia muonekano wake na strap sandals lakini kilichotuvutia zaidi ni choice yake ya kuvalia miwani na muonekano huu.

Kingine kilichotuvutia ni namna ame rock minimul accessories & makeup na low cut yake. Well afromates tupe thoughts zako kwenye hii look ya Flaviana Matata

Related posts

4 Comments

  1. wapjig.com

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-the-coolest-wedding-guest/ […]

  2. บาร์โฮส

    … [Trackback]

    […] There you can find 26719 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-the-coolest-wedding-guest/ […]

  3. cambodian super fungus​

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-the-coolest-wedding-guest/ […]

  4. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/flaviana-matata-the-coolest-wedding-guest/ […]

Comments are closed.