Off shoulder ina endelea ku-kiki mtaani na sehemu mbali mbali, lakini imekua common kwa kila mtu kuvaa aina hio hio moja Stylist na Fashion blogger kutoka Nigeria Folake Hustoon au una weza kumjua kama “stylepantry ” yeye huwa ana penda kuwa watofauti.
Off shoulder ni kukatwa kwa mikono uwe mmoja au miwili yote uitwa “off shoulders” mmoja huitwa “one Hand” lakini yote huturudisha pale pale kwamba kuna mkono haupo.
Folake ame taka kuonekana tofauti kidogo na hii trend ndipo yeye alipo amua kuvaa hii trend kiaina hii
one hand- off shoulder crop topĀ akiwa ame valia na wide legs suruali yaani trend on trend
Gingham Top x Skirt hii top ana ipenda sana, the style ipo tofauti ni vizuri kuwa wa tofauti
Hii hapa pia ni off shoulder crop top na skirt yenye mpasuo mbele tena trend on trend na yeezy clear heels.
Gingham Top x Skirt na fur heels tuna penda jinsi anavyo unganisha trend mbili kwa wakati mmoja na ana pendeza
una weza kusema she is a goalĀ maana ana watoto watatu na ana miaka 39 lakini ni kama she is 25
tembelea page zetu
Instagram – afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Facebook – afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…