SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Forget About Wedding Bouquet Flowers These Are Other Ways To Use Flowers On Your Wedding
Mitindo

Forget About Wedding Bouquet Flowers These Are Other Ways To Use Flowers On Your Wedding 

Hello Afromates, ni jumatano nyingine tena ambayo tunajua kunakuwaga na #WeddsWednesday hapa tunakuwa tunaongelea mitindo mbalimbali ya harusi, leo tunaongelea kuhusu namna nyingine ya kutumia maua katika harusi yako.

Tumezoea kutumia maua kwenye decorations katika harusi au wedding bouquet flowers ambazo hubeba bibi harusi na wengine hutumia flower girls ku-throw flowers katika harusi, Asante kwa Kim Kardashian na mke wa Joshua Kissi ambae ni photographer na creative director kutoka Kenya ambao wametuonyesha namna nyingine ya kutumia maua kwenye harusi yako.

Kim Kardashia alitupa wedding vibes wakati ana launch collection yake mpya ya makeup Mrs. West Collection, akiwa amevalia gauni jeupe lenye maua ya rose kifuani, we love this creativeness ipo tofauti. Tumependa makeup yake na nywele pia we can totally see a bride in this outfit, kama utataka kujaribu hakikisha thorn kwenye maua zimetolewa zisije zikakuchoma.

Na mke wa Joshua Kissi yeye alitumia flowers kama kofia, Snapchat filter in real life, we lovelove how the hat makes a statement,

Well Afromates tuambie thought zako kwenye hizi idea ipi umeona inakufaa?

Related posts

3 Comments

  1. กำจัดปลวก นครศรีธรรมราช

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/forget-about-wedding-bouquet-flowers-these-are-other-ways-to-use-flowers-on-your-wedding/ […]

  2. Dividend-paying stocks

    … [Trackback]

    […] Here you will find 75810 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/forget-about-wedding-bouquet-flowers-these-are-other-ways-to-use-flowers-on-your-wedding/ […]

  3. will molly show up in a drug test,

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/forget-about-wedding-bouquet-flowers-these-are-other-ways-to-use-flowers-on-your-wedding/ […]

Comments are closed.