SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Former Miss Tanzania For Beauty Legacy Gala Photoshoot
Mitindo

Former Miss Tanzania For Beauty Legacy Gala Photoshoot 

Walimbwende wa zamani kutoka Miss Tanzania wamefanya photoshoot ya Tamasha la Beauty Legacy Gala Tanzania 2020. Utakuwa unajiuliza Tamasha hilo linahusiana na nini “Miss Tanzania 2000, Mjasiriamali na Muasisi wa Dr. Ntuyabaliwe Foundation, Ms.Jaqueline Mengi ameanzisha tamasha la harambee la The Beauty Legacy Tanzania 2020 linalowajumuisha malkia walioshinda Taji la urembo Tanzania lenye lengo la kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia watoto na wamama wenye uhitaji maalumu litakalofanyika December 12 jijini Dar es Salaam.

Walimbwende mbalimbali kutoka miaka iliyopita wameonekana kushirikishwa katika Tamasha hili akiwepo Miss World Tanzania 2018 @queenelizabethmakune, 2019 @sylviasebastianbebwa, 2015 @lilliankamazima, 2016 @dianaflave, 2000 @j_n_mengi, 2011 @salha_israel, 2012 @lisazagar, 2001 @ladivamillen, 2014 @happinesswatimanywa na Miss World Tanzania 2006 Wema Sepetu.

Ikiwa tunaelekea karibia na Tamasha hili kufanyika warembo hawa wamefanya photoshoot na kutukumbusha kwanini walishinda Taji hili, angalia picha chini kuona nani ali-slay vipi.

Kutoka Kushoto Ni Miss Tanzania 2000 Happiness Magese, Lisa Jensen ( 2012) na Sylvia Bebwa ( 2019)

Kutoka Kushoto Ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, 2018 Queen Elizabeth Makune Na Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi

Wengine waliokuwepo unaweza kuwaona hapo chini kwenye picha ya pamoja

Well hii inatufanya tusubiri kwa hamu kuona hio siku itakuaje
Venue :@hyatt_kilimanjaro
Make up :@laviemakeup
Hair @yohajonailbar
Styled by @noelgiotz

Photographer @pafectstudio

All queens were dressed by @secky_land_of_fashions

Related posts

3 Comments

 1. สล็อตเครดิตฟรี

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/former-miss-tanzania-for-beauty-legacy-gala-photoshoot/ […]

 2. Tesing Automation

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/former-miss-tanzania-for-beauty-legacy-gala-photoshoot/ […]

 3. how to plant morning glory vine seeds

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/former-miss-tanzania-for-beauty-legacy-gala-photoshoot/ […]

Comments are closed.