Anaitwa Garuba Khadijah Abiola, ni Modesty Muslim Fashion Blogger japo a.k.a yake ni dimplekhadi, Khadija ni mmoja kati ya wale ma blogger wa ki Islam ambao wapo too modesty, tuna dhani kwa sasa watu wengi wana fanya hivyo ili ku cope na fashion ila how modesty is too modesty for Muslims? Hii tunaomba mtujibu kwenye account zetu za mitandao ya kijamii tutaandika handles chini kabisa ya article . Kwa sasa lets go back to Khadija, Khadija ni Nigerian aneishi Ukraine huko ana somea Fashion, labda hii ni sababu ya yeye kuwa too modesty
kwanini tume uliza hili swali ni baada ya kuona mavazi ya Khadija kama hili hapa la suruali, hii ina ruhusiwa kweli kwa waislam? au ime pita kiwango? we love the color coordination though
her turban game is always on point
hii ina weza ikawa look yake ya pili ambayo tumeipenda sana
the high & low game
pleated metallic skirt
our favorite of them all
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-hijabista-garuba-khadija-abiola/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-hijabista-garuba-khadija-abiola/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-hijabista-garuba-khadija-abiola/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-hijabista-garuba-khadija-abiola/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-hijabista-garuba-khadija-abiola/ […]