Irada_Wa_Waziri ni jina analo litumia Instagram, Lakini pia ndio jina lake halisi. account ya Irada ni moja kati ya account tunazo penda kuzipitia hasa kama tunataka insiration ya nini kuvaa siku za ijumaa au siku ambazo tunataka kuvaa mabaibui ana best taste of style na leo amekuwa Friday hijabista wetu

Green & Yellow Vibes

Amry Green Vs Creamy 

Casual Look akiwa amevalia boyfriend jeans 

Burgundy na Floral Blazer Day 

Mna weza kumfollow ig @irada_wa_waziri kizuri anauza pia mavazi ya aina hio

Comments

comments