SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FRIDAY HIJABISTA – JUST_AMINAH2
Mitindo

FRIDAY HIJABISTA – JUST_AMINAH2 

Ni m-Tanzania mpenda mitindo lakini pia ni make up artist ana itwa Aminah lakini Instagram ana jiita just_aminah2. Tumetembelea Instgram feed yake na tumependa jinsi anavyo style muslim style wear zake, she is colorful and a dare

 

 

Tulipo muuliza kuhusu yeye na style zake na ni nini ana waambia wasichana waki islam wengine ambao wange penda kuvaa stara in a fashionable way hakusita kusema ‘ Well labda to my side I understand there is a  Fashion and style…. unaweza ukawa na style zako mwenyewe kwa namna unayovaa  bt you don’t have to be out of fashion…the same to the Hijab . Haimaanishi ukiwa unavaa  hijab ndo usipendeze  no iweke hijab yako ktk muonekano mzuri, that what I knw  kikubwa ni kila  mtu achunge maadili aliyofundishwa . Stara ni muhimu kwa mwanamke. That’s all. 

Related posts

Leave a Reply