Tunamjua kwa jina lake la Instagram @minispha_muslimah, ni m-Tanzania mwenye makazi yake Zanzibar, tumependa jinsi anavyo style hijab zake na mavazi yake. Kwa kumuangalia tu minispha ni mpenzi wa rangi yaani anajua kupangilia rangi na si muoga wa kujaribu kuzi changanya.
bandage skirt game hapa una weza kujifuna alivyo mix rangi zake na pia sababu skirt zime bana una weza kuona amevalia kimono na nyingine kavalia sweta
corporate outfits na suruali za kitambaa, tume penda suruali zake zina m-fit vizuri na rangi zake zime tulia, the color game is strong
Street/casual outfits na skin jeans, Mme notice jinsi alivyo na swagg? ni kind of a girl who can do both tumependa style yake na una weza kumtafuta Instgram kupitia @minipha_muslimah
una weza kutupa maoni yako kupitia
Instagram _ afroswagga
Twitter – Afroswaggatz
Facebook – Afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…