SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Friday Outfit Ideas
Mitindo

Friday Outfit Ideas 

Ijumaa imeshafika watu viwanji tuna miminika tufurahi kwa pamoja wakati huu na kwa furaha turushe mikono juu, Ijumaa inapo fika uwe na hela usiwe na hela unapata ahueni kidogo, kujua una siku mbili za kupumzika kutuliza kichwa na stress za kazi lakini pia kuvaa kile unacho jisikia. Kwa wale ambao huwa tuna mitoko kila ijumaa wenyewe siku hizi tuna ambiana toa code, leo kama una code jioni hizi ndizo outfit unazo weza kuchagua kuvaa

Kama una mtoko wa kawaida na marafiki na unapenda jeans hizi zinakufaa unaweza kupumzisha miguu kwa kuvaa flats au sneakers lakini pia unaweza kuvaa na heels kama Lavidoz

Kama unatoka kwenda date, dinner etc hizi pia zitakufaa zaidi

Enjoy your weekend

Related posts

3 Comments

 1. buy magic mushroom online in australia

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-outfit-ideas/ […]

 2. Buy K2 paper Europe

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-outfit-ideas/ […]

 3. ห้องพักชั่วคราว รามอินทรา

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-outfit-ideas/ […]

Leave a Reply