The weekend just landed Yeeey, sasa kila mtu ana jaribu kujua aende wapi na avae nini… Well that is what we are here for, kukujuza nini uvae, nini kina trend, nini kipya ulimwenguni yes Afroswagga is a fashion place to be. Well kama una ka mtoko leo iwe dinner date, movies au chochote hizi ni Ideas za mitoko ambazo unaweza kuvaa
Tuxedo Dress is always a good choice kwa maana una weza kwenda nayo dinner date, movie date na ukaingia popote baada ya hapo
Denim kuvaa kimono kwa juu nayo ni trick nzuri kama utaenda dinner utakula then mkiamua kwenda club, unaeka kimono pembeni na kubaki na club look
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 12338 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-outing-outfit-ideas/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/friday-outing-outfit-ideas/ […]