SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FridayMuse: Lavie Makeup Showing Off Her Perfect Curves In Velvet Dress By Elisha
I'm A Celebrity

FridayMuse: Lavie Makeup Showing Off Her Perfect Curves In Velvet Dress By Elisha 

Tunamjua kwa jina lake la biashara Laviemakeup, ni make up artist anae fanya kazi na watu wengi lakini pia anafanya kazi na watu maarufu kama Wema Sepetu, Elizabeth Michael (lulu), Jokate mwegelo na wengine wengi Lavie ametajwa na Forbes kuwa ni moja ya vijana wenye mafanikio makubwa kwa umri ya chini ya miaka 30.

Lavie huwa hapost picha zake mara kwa mara lakini picha zake za hivi karibuni ame post akiwa amevalia dark blue velvet dress iliyo buniwa na mbunifu Elisha.Red.Label, Yas Elisha Push through.

Elisha ameonyesha jinsi gani mwanadada lavie ana perfect figure tunaweza kusema huyu ndiye aliye imbiwa wimbo wa umbo namba nane na muhenga Daz baba. Lavie alivaa gauni hili na simple make up, Bob Wave Weave na simple accessories perfect

Okay now Lavie anaweza kushinda muonekano bora wa week katika week hii kama hatotokea wa kumfunika.

Related posts

2 Comments

  1. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fridaymuse-lavie-makeup-showing-off-her-perfect-curves-in-velvet-dress-by-elisha/ […]

  2. try here

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/fridaymuse-lavie-makeup-showing-off-her-perfect-curves-in-velvet-dress-by-elisha/ […]

Leave a Reply