Linapo kuja swala la kununua na kuzijali jeans ina weza ikawa very tricky, mara nyingi hutokea unanunua suruali,shirt au coat la jeans ukilifua basi huwa zina tabia ya kunywea/ au kuwa ndogo hii inatokana na kwamba zinapo tengenezwa kwenye kampuni moja kwa moja hupelekwa sokoni wakati material yaliyo tumika kutengenezea bidhaa hizi ni raw, unsanforized denim, Hii ikimaanisha no shrink applied during the production process. Kwa kuliona hilo kampuni ya jeans ya Levis imetoa tips ya nini ufanye ili kuondokana na tatizo hili & there is no better place to learn than at maker-self.
Hii ni nzuri kwa wale ambao wana nunua size zao tosha au kubwa lakini ukinunua size ndogo, ina weza ikasababisha usivae jeans yako tena, hizi ndizo tips kutoka kwa Levis
- No wash method/ Usiifue – kama hutaki kununua jeans kubwa una weza kununua jeans ndogo kuliko size yako na usiifue uwe unaifuta tu, au una ifreeze baada ya kuvaa mara mbili tatu itatanuka na kukufit perfectly.
- Fua – kama una tatizo la kupata jeans zinazo kutosha vizuri hii ni njia nzuri zaidi nunua jeans kubwa kidogo kisha ifue, ita nywea kwa asilimia fulani na hii itasaidia kukufit perfect
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/funfact-tambua-namna-za-kupata-jeans-inayo-kutosha-vizuri/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/funfact-tambua-namna-za-kupata-jeans-inayo-kutosha-vizuri/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/funfact-tambua-namna-za-kupata-jeans-inayo-kutosha-vizuri/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 48379 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/funfact-tambua-namna-za-kupata-jeans-inayo-kutosha-vizuri/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/funfact-tambua-namna-za-kupata-jeans-inayo-kutosha-vizuri/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/funfact-tambua-namna-za-kupata-jeans-inayo-kutosha-vizuri/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/funfact-tambua-namna-za-kupata-jeans-inayo-kutosha-vizuri/ […]