Gabrielle Union na mumewe Dwayne wameonekana wakiwa katika matching outfit tokea wafike Monaco katika shughuli zao siku ya kwanza Gab na Dwayne Wade walioneka wakiwa wamevali mitoko yenye lace ambapo Gab alionekana kavaa kijigauni chenye lace cheupe huku Dwayne akiwa amevalia shati ambalo pia lina lace na kaptura ya jeans

34BEA56F00000578-3615309-Not_shy_at_all_Union_s_dress_was_also_short_enough_to_show_off_h-m-79_1464544059225

Siku ya pili Dwayne na Gab walivaa all white outfits, kama wakiendelea hivi wanaweza wakawa most stylish couple baada ya kim na kanyeGabrielle-Union-at-F1-Grand-Prix-of-Monaco--01-662x993