SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

GAUNI YA MTOA DAMU KYLIE JENNER
Mitindo

GAUNI YA MTOA DAMU KYLIE JENNER 

Wakati ame valia lile gauni Kylie alionekana ame pendeza sana lakini kumbe ndani yake alikua ana umia, Kylie ambae alivalia gauni kutoka katika kampuni ya mavazi ya Balmain ame share picha katika mtandao wa snap chat akionyesha jinsi gauni lile gauni lili mchana chana miguu na kusababisha kutokwa kwa damu na kupata michubuko,

952ad916e3ad98be5b8dd530c94337c2

alishare post hiyo akisindikiza na maneno yafuatayo

ebd0882c0fa6e52784f7c5e8b7ff5d31

Japo mwenyewe ana sema it worth it kuchubuka kwa sababu gauni lilimpendeza sana siku hiyo waswahili husema ukitaka uzuri sharti udhurike

29fc2ac6140535f13ccd8241cd37f222

japo Kylie alibadilisha gauni hilo na kuvaa nguo nyingine katika metgala after party

kylie-jenner-tyga-met-after-parties-10

Related posts

3 Comments

  1. ซื้อเฟสยิงแอด

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gauni-ya-mtoa-damu-kylie-jenner/ […]

  2. hkusa

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gauni-ya-mtoa-damu-kylie-jenner/ […]

  3. Study Medicine in Nigeria

    … [Trackback]

    […] Here you can find 29889 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gauni-ya-mtoa-damu-kylie-jenner/ […]

Leave a Reply