SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Gee Tyga Ametueleza Kuhusu Uanamitindo Na Picha Za Utupu
Mitindo

Gee Tyga Ametueleza Kuhusu Uanamitindo Na Picha Za Utupu 

Wimbi la wanamitindo ambao wanapiga picha za utupu linazidi kuwa kubwa siku mpaka siku hii ikatufanya tujiulize Je inawezekana kwamba kupiga picha za utupu ndicho kinakufanya uonekane wewe ni mwanamitindo? Tumepata nafasi ya kufanya interview na moja ya wanamitindo wakubwa Tanzania, George Charles au Gee Tyga ametuelezea yeye ufahamu wake kuhusu models na picha za utupu ikiwa yeye ni mmoja wapo ya wanao piga picha hizi.

 

1. From your point of view, nude art ama photography waweza ielezea as nini exactly?

Well,Nude art on point of view  
Nitype ya Picha ambayo model hupiga kuonyesha mwili wake, kwa Mimi I am a high fashion model and fitness model, and kwenye fitness modelling you must show you body.

 

2.Na wabunifu, hufikishaje ujumbe kwa watu kupitia nude art and photography?

Kwa Designer hufikisha ujumbe kwa jamii kwa nude art kwa njia  ya details za designs zake.

3. Tumeona models na mastar wengi duniani wakipose katika majarida au hata as cover models all nude. Ni model wamekuvutia katika kazi zao?

Hapana siwezi sema nafanya kwa kuvutiwa na wao but nafanya kwa njia yangu as mimi because nataka kuwa tofauti. I want to be me as mimi,

 

4. Wabunifu ama wasanii gani umeweza ama umewahi fanya projects nao on this?

Those were test shoots, but kupitia hiyo kuna project nimefanya inakuja soon.

5. Kila aonaye kazi zako huwa na mawazo tofauti. Negative comments toka kwa wengi wasio na uelewa wazihandle vipi?

Well, kiukweli mwanzo ilikua ngumu kuzi handle, but nilikuja kujua most of people wanao comment kwa kutukana or kuni judge tofauti hawajui nini tofauti ya nude photography na kukaa uchi and they don’t know about modeling so now hawanipi shida ila wanazidi kunifanya nifanye zaidi coz I know myself who I am, and I’m professional.

 

6. Wengi hufananisha nude art and photography sawa na wapiga picha za nusu uchi mitandaoni. Tofauti yake hapo ni nini?

Tofauti yake ni aim ya hizo picha kwafano, mie nimefanya Photoshoot na wakilisha kazi ya designer, ukisema kwa upande wa picha za uchi siwezi jua aim yake hasa huwa wana wanawakilisha nini.

7. Ukiwa kazini as in studio, unaweza vipi kumaintain that calmness na kubaki all professional?

Nikitu nafanya, nafanya kwa passion so I do in a professional way.

 

8. Ushauri kwa vijana wanaokimbilia umodel kwa lengo la kujizolea umaarufu, wapenzi na sifa toka kwa watu?

Kwanza Mimi sijudge watu
Kwahiyo Kama mtu kuja kwa njia ya kupata mpenzi or umaarufu good for them, ila wajue kua hii ni serious proffesion kama zilivyo zingine. Kuna watu tunaishi/wanaishi kupitia kazi hii, nahisi wanatakiwa kufikiri kabla ya kufanya wanacho kusudia.

 

Interview imefanywa na @willibard_jr 

Related posts

3 Comments

  1. straight from the source

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gee-tyga-ametueleza-kuhusu-uanamitindo-na-picha-za-utupu/ […]

  2. weed

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/gee-tyga-ametueleza-kuhusu-uanamitindo-na-picha-za-utupu/ […]

  3. Dark web market links 2023

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/gee-tyga-ametueleza-kuhusu-uanamitindo-na-picha-za-utupu/ […]

Comments are closed.