SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Gele Ideas You Should Wear On Your Next Event
Mitindo

Gele Ideas You Should Wear On Your Next Event 

Kutafuta m’bano kwa ajili ya kwenda kwenye sherehe huwa ni stress, kuna wale wasiopenda mambo mengi, ukisuka rasta inachukua muda na labda umechoshwa na wig na weavings basi m’badala wa hivi ni kufunga vilemba ambavyo wengi tunaviita vya ki-Nigeria lakini jina lake kabisa ni Gele, na vilemba hivi huvaliwa hasa kwenye shughuli kama harusi, kitchen party au hata send off.

Well tumekuletea ideas 6 kutoka kwa watu maarufu kutoka Tanzania na Nigeria ambao tumeviona na kukavutiwa navyo tukianza na

Hamisa Mobetto, Elizabeth Michael & Julitha Kabete

Wengine ambao wametuvutia na vilemba vyao ni Toke Makinwa, Gigy Money na Liquo Rose

Tuambie ya nani unaweza kujaribu?

Related posts